iqna

IQNA

kuvunjia heshima
Misri
IQNA - Ahmed Hijazi, mwanamuziki wa Misri, amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kuitusi Qur'ani Tukufu, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimeripoti.
Habari ID: 3478272    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Chuki dhidi ya Uislamu
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kuivunjia heshima Qur'ani ni kuvunjia heshima na kudunisha ubinadamu na thamani za Kiislamu, na jamii ya Kiislamu haitavumilia suala hilo.
Habari ID: 3477217    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/30

Chuki dhidi ya Uislamu
Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Marjaa wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq amelaani hatua ya Uswidi (Sweden) kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na ameutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kuzuia kukaririwa vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu cha Waislamu cha Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477215    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/30

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Katika muendelezo wa mpango wa chuki dhidi ya Uislamu, mara hii walowezi wa Kizayuni wamechoma moto nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu huko katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
Habari ID: 3475919    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12

Ayatullah Nouri Hamedani
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni njama za vituo vya kifikra vya Utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika fremu ya kueneza chuki na hofu dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473142    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06